BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Kwani waarabu wakishinda kuna shida kamañda? Mbona freshi tu, si ni wote waafrika tu!Wakizembea hata waarabu watawashinda, Norway kampa mwarabu chuma zake nne, Haaland kaweka mbili, hawana utani na mtu sasa Senegal muache alete u pan Africanism wake ataelewa show.
Senegal amebamizwa 3-1, japo siipendi ufaransa lakini pia nilitamani senegal apigwe, na amepigwa kweliMatokeo tafadhali
Mwarabu ninayezungumzia ni Iraq, siwezi kushabikia Iraq ikicheza na timu yoyote kutoka Africa.Kwani waarabu wakishinda kuna shida kamañda? Mbona freshi tu, si ni wote waafrika tu!
Nitashabikia Ufaransa nisiwe muongo, timu ya kiarabu ambayo naweza kushabikia ni Egypt japo Tia maji Tia maji Sana haieleweki miaka hii...Mfano wakikutana morocco na ufaransa utashabikia nani?
Kwa waswahili tulivyo tunawaamini sana wazungu hivyo mchezaji wa kiswahili akifundishwa na mzungu anakuwa na imani zaidi kuliko akifundishwa na mswahili mwenzake.Duh!...umewadunisha mno makocha wazawa.
Hao makocha wazawa na wao wanafundishwa kozi za Ukocha na hao hao wazungu.
Scars
Miaka yote timu za Afrika zimekuwa na makocha wazungu zimefika wapi.Kwa waswahili tulivyo tunawaamini sana wazungu hivyo mchezaji wa kiswahili akifundishwa na mzungu anakuwa na imani zaidi kuliko akifundishwa na mswahili mwenzake.
That's a plain fact.
Angalia kwanza rekodi za timu za Afrika zilizowahi kufika robo fainali ya kombe la dunia walikuwa wakifundishwa na nani.Miaka yote timu za Afrika zimekuwa na makocha wazungu zimefika wapi.
Kocha wa Ufaransa akifundisha Senegal wanaweza kuchukua ubingwa?
Mechi ya juzi mzawa wa Ufaransa aliyeanza alikuwa mmoja tu.
Walid Regragui Kocha mzawa wa Morocco aliyeifikisha nusu fainali kwa mara ya kwanzaAngalia kwanza rekodi za timu za Afrika zilizowahi kufika robo fainali ya kombe la dunia walikuwa wakifundishwa na nani.
Mwarabu ninayezungumzia ni Iraq, siwezi kushabikia Iraq ikicheza na timu yoyote kutoka Africa.
Nitashabikia Ufaransa nisiwe muongo, timu ya kiarabu ambayo naweza kushabikia ni Egypt japo Tia maji Tia maji Sana haieleweki miaka hii...
Mimi sio mbaguzi mkuu, wewe ndio unaonekana ni mbaguzi maana unalazamisha ionekane usiposhabikia waarabu basi huwapendi.....unaonekana hufagilii ngozi nyeusi, Hilo sio shida ni chaguo lako tu ilimradi isiwe kwaajili ya chuki zako binafsi.Mbona hueleweki upo upande gani!
So, mpaka hapo wewe ni mbaguzi na pia una chuki na timu za waarabu
Senegal na ufaransa utakua upande wa senegal
Morocco na ufaransa utakua upande wa ufaransa
South afrika na morocco/Algeria/Tunisia/Egypt utakua upande wa south n.k
Au sio kweli mkuu???
Mimi sio mbaguzi mkuu, wewe ndio unaonekana ni mbaguzi maana unalazamisha ionekane usiposhabikia waarabu basi huwapendi.....unaonekana hufagilii ngozi nyeusi, Hilo sio shida ni chaguo lako tu ilimradi isiwe kwaajili ya chuki zako binafsi.
Nilishaweka wazi kuwa timu ya kiarabu Afrika ninayoishabikia ni Egypt peke Yake, ikitokea Egypt anacheza na taifa lolote la kiarabu basi Niko nao...Ikitokea timu yoyote Ile inacheza na Senegal duniani Mimi Niko na Senegali kasoro Taifa stars tu..Timu nyingine zote zilzobaki nazishabikia kulingana na wakati huo wa mechi...Timu ulizotaja sijui S.Afrika, Morocco hizo Mimi sio ninazozishabikia, ikitokea zinacheza pamoja yoyote tu afungwe..
It seems you know nothing about the former Moroccan soccer coach and the little you know emanates from the popular jobless areas commonly known as vijiwe.Walid Regragui Kocha mzawa wa Morocco aliyeifikisha nusu fainali kwa mara ya kwanza
Ukweli unabaki pale pale, ni mwarabu raia wa Morocco. Kama ilivyo kwa wachezaji eg Achraf Hakimi na wengine wengi.It seems you know nothing about the former Moroccan soccer coach and the little you know emanates from the popular jobless areas commonly known as vijiwe.
Just to help you, Walid Regragui, the former Moroccan soccer coach was born in Corbeil-Essonnes, France, to Moroccan parents. While he was born and raised in France, he holds dual Moroccan and French citizenship and has represented Morocco extensively as both a player and the head coach for the national team.
Please be informed accordingly.
Unafahamu maana ya neno Dual Citizenship.Ukweli unabaki pale pale, ni mwarabu raia wa Morocco. Kama ilivyo kwa wachezaji eg Achraf Hakimi na wengine wengi.
NajuaUnafahamu maana ya neno Dual Citizenship.
Alikuwa mzungu mfaransa.BRUNO METSU SENEGAL 2002 ROBO FAINAL ALIKUWA MZUNGU
So if you know it then understand that it's the status that defines the former Moroccan soccer coach Walid Regragui.Najua
Kwahiyo kauli ya wachezaji wa moroko kuwa hawaiwakilishi africa kwenye kumbe la dunia lililopita ulikuwa uongo?Poa kamanda nimekuelewa, I'm sorry kwa kukudhania hilo