FT: Ujerumani yainyanyasa Curacao, yaifumua 7-1 | World CUP 2026 | NRG Stadium (Houston, TX) | 14 June, 2026 |

Fifa inabidi waangalie sifa za nchi kuwa mwananchama na hasa kushiriki haya mashindano.

Sio kwa ubaguzi isipokuwa kuleta umoja duniani. Nchi kujitenga tenga sio sawa.
Walau kigezo cha idadi ya watu kiwe kinazingatiwa. Nchi ambayo hata wakipewa mkapa hawawezi kujaza, unawezaje kwenda world cup?

Ukiwa nanfaida tu ya wachezaji kucheza ulaya
 
Wakiingia mkapa baado watapwayaπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…