Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Na mara nyingi Germany akianza mechi ya kwanza kwa kishindo huwa anafika mbali katika mashindano ya kombe la dunia (Aidha Nusu fainali au fainali kabisa).Tayari mtu kala 7-1 kama kawaida ya Mjerumani.
Ref: 2002 Saudi Arabia ilikulà chuma nane. 2014 Portugal ilikulà chuma 4.