Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Na mara nyingi Germany akianza mechi ya kwanza kwa kishindo huwa anafika mbali katika mashindano ya kombe la dunia (Aidha Nusu fainali au fainali kabisa).Tayari mtu kala 7-1 kama kawaida ya Mjerumani.
Tanzania milioni 70 lakini mpira wa maneno tuCuracao ni nchi ambayo population yake hawafiki hata laki mbili.
Kumbuka Brazil nae alikula goli 7-1 kutoka kwa hawa hawa Wajerumani,Hata NBCPL tu hawafungani saba
Hili kombe la dunia au pombe ya dunia
Sijui wanawaza nini vichwani mwao hawa wajerumaniKumbuka Brazil nae alikula goli 7-1 kutoka kwa hawa hawa Wajerumani,
Saudi Arabia nae alikula goli 8-0 kutoka kwa hawa hawa Wajerumani,
Huyu Mkoloni hua hana huruma na mtu hata kama ukiwa mnyonge.