Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Wenyeji wenza wa Kombe la Dunia, Marekani (USA), na washiriki waliofuzu kutoka Asia, Australia, watachuana jijini Seattle. Mshindi wa mechi hii ana nafasi kubwa ya kujihakikishia nafasi ya kwanza mwishoni mwa mzunguko wa pili wa mechi (matchday two) baada ya timu zote mbili kupata ushindi wa kuvutia hapo awali.
Marekani tayari wameweka rekodi mpya baada ya kufunga mabao manne katika mechi moja ya Kombe la Dunia la FIFA kwa mara ya kwanza kabisa walipoishinda Paraguay 4-1. Ushindi huo umefikia rekodi yao ya ushindi mkubwa zaidi wa Kombe la Dunia, ambayo wanashirikiana na ushindi mwingine miwili ya 3-0 uliopatikana mnamo mwaka 1930.
Kwa upande mwingine, Australia waliwashangaza Uturuki kwa kuwafunga 2-0 katika mzunguko wa kwanza. Ushindi huo uliwapa fursa ya kutoruhusu bao (clean sheet) kwa mara ya pili, na ulikuwa ushindi wao wa tatu katika mechi nane zilizopita (Wakisginda 3, Droo 1, na Kupoteza 4)—mfululizo ulioanza kwa kufungwa 2-1 na Marekani katika mechi ya kirafiki.