mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa
==============================
Yanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Wiki ya Mwananchi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Agosti 6, 2022.==============================
Licha ya kuwatumia wachezaji wake wapya katika mchezo huo, wakiwemo; Aziz Ki, Gael Bigirimana, Joyce Lomalisa na Bernard Morrison bado mambo yalikuwa magumu kwa Yanga katika mchezo huo.