FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa

==============================
Yanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Wiki ya Mwananchi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Agosti 6, 2022.

Licha ya kuwatumia wachezaji wake wapya katika mchezo huo, wakiwemo; Aziz Ki, Gael Bigirimana, Joyce Lomalisa na Bernard Morrison bado mambo yalikuwa magumu kwa Yanga katika mchezo huo.

Yanga (2).jpg

Yanga (3).jpg
 
Utopolo kimataifa bado sana, mko nyumbani mnafungwa dakika ya kwanza ya mchezo!

Ajabu mnalilia kwenda CAF Champions League, zile mechi zenu za kirafiki na Friends Rangers mnashinda 9-0 halafu mnashangilia, huu ndio wakati wa kufurahia matunda yake.
 
Back
Top Bottom