FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

We jamaa uko na akili sawa sawa kweli?? Yaan Yanga walinunua mechi zipi hizo pamoja na za Simba zote 4 mlizokutana??

Binafsi leo nilitaka kuangalia zaidi maingizo mapya kama yako sawa au la, na niseme wazi Yanga imeimarika sana, tena sana tu.

BIGIRIMANA 8/10 amepiga pasi za uhakika nyingi, anatulia, nguvu na ball control nzuri. Kwa nafasi yake ya kiungo, naona katikati patakuwa na mchuano mkubwa sana. Naona wazi Mwamnyeto akilizoea benchi taratibu sambamba na Sure boy na nafasi zao zikitawaliwa na BANGALA NA BIGIRIMANA.

AZIZ KI 8/10 Jamaa ana nguvu, ball control, speed na macho makali mno, kwa nafasi yake na kwa nilivyomuona Feisal akiwa mzito kuendana na kasi ya KI itakuwa ngumu mno kucheza pamoja, kama KI ataanza basi namba 10 asimame KAMBOLE mwenye Speed na mikimbio yenye kuhisi pasi kutoka kwa kiungo wake. KI atokee kulia na MOLOKO benchi linamuhusu vizuri sana.

LOMALISA 8/10 Hatimaye tumeweza kuwa na beki 3 bora kwa miaka ya karibuni kwa tuliomuona MARCELO basi tunasema hapa Yanga wamepata mtu, mtulivu, mwenye speed, pasi sahihi na hata nguvu ya Kubattle.

MORRISON 5/10 Hajacheza vizuri leo, ingawa ni mchezaji machachari na mjanja sana, inatakiwa sasa mtu kama Mayele na Feisal wawe sharp sana kusoma akili na mikimbio ya huyu jamaa. Welldone boys.

KWA NILIVYOINGALIA YANGA LEO HII, NAWEZA KUSEMA KIKOSI CHA KWANZA CHA MSIMU UJAO KITAKUWA IFUATAVYO.
Hii ni kwa CAF
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BANGALA
5. MWAMNYETO
6. BIGIRIMANA
7. KI AZIZ
8. AUCHO
9. MAYELE
10. FEISAL
11. MORRISON

Kwenye Ligi Kuu naona kuna nafasi zaidi kwa SURE BOY, JOB, KIBWANA, MOLOKO nk.
Summarize hatutaki maelezo mengi
 
Simba alivyofungwa pre season mlianza kuimba taarab leo na nyinyi mmefungwa mnasema lilikuwa bonanza yanga bwana akili zao.
 
Farid Mussa hauja muona?
 
DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BANGALA
5. MWAMNYETO
6. BIGIRIMANA
7. KI AZIZ
8. AUCHO
9. MAYELE
10. FEISAL
11. MORRISON
Kwa hiyo hii ndo Yanga!?? Wafanyabiashara watatuulia hivi vilabu aisee!!!
 
Huoni kimataifa kila siku mnaumbuka bingwa hata msimu mmoja hamfanyi vizuri kimataifa shida ipo wapi kama kweli nyie mabingwa huko hakuna kuhonga marefa wala timu makelele kIbao timu kila siku kimataifa mnafungwa
 
Viongozi wa simba wamefurahi sana maana mashabiki wao wamepata kingine cha kujadili hivyo wataacha kuwasumbua kuhusu jezi.
Zinazinduliwa leo saa 5. Upooo nyonyoo??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti
 
Kipa wenu ni mfupi
Kocha wake anatakiwa kumpa mazoezi maalum bila shaka! Ukiondoa kimo chake, bado ana madhaifu ya kufungwa magoli ya aina ile ile.

Kwenye mechi ya fainali dhidi ya Coastal Union, Sopu alimfunga goli la aina hii baada ya kupiga kichwa kugongesha chini! Na ulikuwa ni upande ule ule!

Ni aibu kwa golikipa wa kimataifa kufungwa goli la kona ya moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Ali Mustafa 'Bartez' enzi zile. Natamani kuona Abutwalib Mshery akiaminiwa zaidi. Maana siyo golikipa mwenye makosa mengi uwanjani ukilinganisha na huyu Diarra.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaah!!!! Mdaka mishale
Leo anaombwa awe bench, ampishe Mshery.

Byuti byuti.
 
Hii ni mechi ambayo haina presha na upo nyumbani ukisherekea siku yako.
 
Shougaaaaaaaah angu futa hii comment, huoni unajidhalilisha???
Km navyokuona unafuta machozi, na kusonyaaaaa. Weraaaaaaaah

Mmeinamishwa na kukojolewa viwili vya afya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bobosi mbayaaa nyie, sio kwa dribbling ilee,

Byuti byuti.
Hii lugha hii! Dah!! Kwa sababu ni wewe, basi itanilazimu tu kugugumia.
 
Back
Top Bottom