Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!Mayele,Morrison,waingie hapo,wenye nchi tuteteme.
Bigirimana, Kambole hawachezi leoNje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
JKWananchi wako baridi sana huku mitandaoni, hivi si nyie ndio wenye shughuli hii leo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
ππππ€£π€£π€£π€£π π π πππππππππππKitimu chenyewe Vipers hakipo kabisa kwenye ramani ya kandanda hapa Afrika!! Lakini ni mlima mrefu kwa uto!!