Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mpaka kufikia dakika ya 90 hapa tunakuwa tumeshinda, lile ni kosa dogo tu walifanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!Mayele,Morrison,waingie hapo,wenye nchi tuteteme.
Bigirimana, Kambole hawachezi leoNje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
JKWananchi wako baridi sana huku mitandaoni, hivi si nyie ndio wenye shughuli hii leo [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😅😅😅😆😆😁😁😁😄😄😃😃😀🙃Kitimu chenyewe Vipers hakipo kabisa kwenye ramani ya kandanda hapa Afrika!! Lakini ni mlima mrefu kwa uto!!