FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.

Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!

Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!

All in all, timu bado ni mzuri.
 
Namuona manara anapasha misuli akaokoe jahazi lakin kasahau kuvua miwani...Je mpira atuona kweli ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…