FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Byuti byuti wamekutana na pumzi ya moto.....

Junamosi ijayo tunapiga kwenye mshono....
 
Mpila umeisha Vipers wanatoka kufua mbele Kwa goli 2-0.
BYUTI BYUTI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha majungu ya kiana

Sema timu zote zinatoka kifua mbele

Ukiitaja Vipers unakuwa unatupa maswali mengi

Inamaana Yanga wao wanatoka kitumbo mbele?
 
viiiimbaaaa.JPG
 
Hawa jamaa kimataifa bado sana, wakikutana na timu za Misri watatepeta.
 
Back
Top Bottom