mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
BASI tufanye wananchi wameshinda! mkiona hilo gumu tuseme wananchi wamewaachia wageni wao! ukarimu ni tabia ya wananchi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu leo sirudi tutaonana jumatatu jionYani nna furaha kinyama[emoji23][emoji23][emoji23] kama nlijua nkajipikia kapilau kangu[emoji39][emoji39][emoji39] leo mtu sjui atarudije ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kapigwa mpaka domo limevimbaJamani aziza key imekufa taifa
Ni mhaya wa kanyigo huyoHawa vipers ni hatari sana , Huyu Bobosi Byaruhanga si mchezaji wa kawaida
Lala huko huko ntampa jirani🤸♀️🤸♀️😂😂Mke wangu leo sirudi tutaonana jumatatu jion
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jfProfesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.
Aiseeh, yule Bigirimana na Lomalisa mmepigwa.[emoji23]
Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
Dah haya bana , najua unatucheka tuuPole sana mtu wangu ,financial services