FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
Huyo ni uto kama uto wengine na sio Kikwete wala baba yake Manara
 
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
kuna muda kufungwa gol mapema kunaondoa plani
but kwa nilivyowaona maongezo mapya yule wa ulaya kuna kitu miguun mwake,aziz kacheza kwa presha sana
 
Makelele kIbao timu bovu tukiwaambia utopolo kimataifa bado katika ligi ya bongo jamaa wamenunua sana mechi nyie mkafikiri ni uwezo wao matokeo yake wakienda kimataifa wanagongwa kwa jinsi walivyocheza Leo wanatoka mapema tu mdomo mwingi timu hakuna kima nyie
 
One love ninja . limekufa jitu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeinamishwa na kukojolewa viwili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom