FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

BASI tufanye wananchi wameshinda! mkiona hilo gumu tuseme wananchi wamewaachia wageni wao! ukarimu ni tabia ya wananchi!
 
Yani nna furaha kinyama[emoji23][emoji23][emoji23] kama nlijua nkajipikia kapilau kangu[emoji39][emoji39][emoji39] leo mtu sjui atarudije ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wangu leo sirudi tutaonana jumatatu jion
 
🎤📢📢📢WANANCHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!! ☹☹dah wapo kimy
 
Byuti Byuti
FA6A3D15-6106-4093-B26E-FA565C575ADC.jpeg
 
Kelele kibao kama debe tupu.....

Wazee wa byuti byuti nasubiria connection maana ndio kazi mnazoziweza....
 
Aiseeh, yule Bigirimana na Lomalisa mmepigwa.[emoji23]
 
Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.

Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!

Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!

All in all, timu bado ni mzuri.
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
 
Yaani haka katimu Kayanga kanapenda kujiweka sawa na Simba ona sasa kametobolewa leo
 
Labda watabadirika ligi ikianza. Ila kimataifa bado sana
 
Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!

Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.

Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
 
Back
Top Bottom