FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Kama Mambo ni Magumu ....Watuingizie Aziza Na Joyce .... BYUTI BYUTI .
 
Makambo anapoteza nafasi ya wazi kuiandikia Yanga goli la kusawazisha baada ya mpira kugonga nguzo ya goli
 
Kujinyea f.c. washaukalia mwiko.hawa ndo wakubeba ubingwa wa caf msimu huu[emoji22][emoji22]
 
Mayele,Morrison,waingie hapo,wenye nchi tuteteme.
 
Back
Top Bottom