mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Wameleta katimu dhaifu, hakajulikani hapa afrika lakini bado kimewaaibisha!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Takataka fcByuti byuti View attachment 2316361
Nyumbani yupo Simba piaYanga kimataifa bado sana
Ila kwa timu za nyumbani sioni wa kuwazuia
Wamezoea kuchezea nsumba,Moira hawauweziYanga kimataifa bado sana
Ila kwa timu za nyumbani sioni wa kuwazuia
Ahahahaaaaa yaani mmewaleta na kuwalisha na kichapo wanawapaMuda Bado,game changers tunao,ni suala la muda tu.