FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

62' Fully Maganga anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Soud. Ruvu Shooting
 
69 ' Kichuyaaaaa anakwenda... Mzamir Yassin goooooooooaal

Mzamir anaipatia goli la pili Simba SC baada ya kazi mzuri ya Kichuyaa
 
[emoji3]Hii Simba Bhana!
Utaruka ruka ..ila Kipigo π
 
Kadi ya njano kwa Yusuf Mlipili..

71' Ruvu Shooting 0-2 Simba Sports Club
 
Mbao FC 2-0 Kagera Sugar. Matokeo viwanja tofauti
 
75' Goooooooooaal goooooooooaal

John Bocco anaandika bao la tatu upande wa Simba SC
 
77' John Bocco anakwenda kwenye benchi na nafasi yake anachukua Nicolas Gyan
 
Erasto Nyoni anaonyeshwa kadi ya njano kwa kupoteza muda
 
Ibrahim anakwenda upande Ruvu. Lakini golikipa Aishi Manula anakaa sawa
 
Back
Top Bottom