FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

FT: Vodacom Premier League, Ruvu Shooting 0 Vs 3 Simba SC uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

09' nafasi ya kufunga kwa Ruvuuuuuu, offside
 
Go goooal Okwiiiii. Offside, mpira tayari umekwamishwa wavuni
 
Okwiiiii la la, konaaaaa, golikipa anaucheza mpira na kuwa kona haijazaa matunda
 
15' Ruvu Shooting 0-0 Simba SC
 
17' Mau Bofu, anapewa kadi ya njano kwa kuchezea vibaya Okwi
 
Hivi hii ndo simba inayoshinda kila game...

Kuna mpira gani hapa...

Kwa bahati nzuri nimejikuta natizama mpira leo..

Bure kabisa
 
Go la konaaaaa, Mzamir alijaribu kupiga shuti kali hapa
 
20 ' Goooooooooaal John Bocco oooo anaweka kimiani kona ya Kichuyaaaaa

Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
 
Shaaban msala anakwendaaaa
 
Tukutane jumatano simba vs Azam fc nani mbabe hapa
 
Okwiiiii la kona ya tatu upande wa Simba 26 ' na yule Kichuyaaaaa
 
Back
Top Bottom