FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Leo tarehe 09/12/2023 saa 4:00 usiku timu ya Simba kutokea Tanzania itakuwa na kibarua ugenini kucheza dhidi ya Wydad AC ya Morocco Jijini Marrakech.

Hii itakuwa mechi ya tatu hatua ya makundi CAFCL. Katika kundi B Wydad AC ndiyo timu pekee ambayo haina pointi hadi sasa baada ya kufungwa mechi mbili za awali.

Je, wawakilishi hawa wa Tanzania watatoboa?

Baki nami katika uzi huu upate yatakayojiri Kabla na wakati wa mchezo huo.


Kikosi cha Simba kilichoanza


Kikosi cha Wydad kinachoanza

Kipa wa Simba, Ayoub akipangua penati
 
😁😁😁😁😁 yanakuja kuweka kambi hapa

Anyway naona mafuta ndo yanaenda kujitenga na mataptap

Viva simba

Kesho dj nanii naomba chapa ngoma ya zuchu😁😁😁
 
Waidad 3-0 Simba. Mo ajitayarishe kufukuza tena
 
Simba sio mbumbumbu, take it from Me.
 
Kila lenye kheri kwako mnyama mkali simba. Tanzania inakutegemea simba ikishinda Tanzania imeshinda hima kwenu utopolo tukutane vibanda umiza kujifunza soka la namna ya kutinga robo fainali bila pira kimbia kimbia pira papara papara
 
Leo mnyama anaunguruma kama kawaida. Kama Wydad walikubali kichapo kutoka kwa Galaxy, Simba hatushindwi. Tunamnyoosha mwarabu huko huko kwao ili liwe fundisho kwa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…