FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Mashabiki wa Waydad tupo hapa. Leo tunachukua alama zetu tatu na goli zetu 4 kiulainiiii.
FB_IMG_1701925913859.jpg
 
Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
 
😁😁😁😁😁 yanakuja kuweka kambi hapa

Anyway naona mafuta ndo yanaenda kujitenga na mataptap

Viva simba

Kesho dj nanii naomba chapa ngoma ya zuchu😁😁😁
Mpaka kufika saa sita usiku, tap tap atakuwa keshajulikana
 
Back
Top Bottom