FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Naona huyu kocha mpya hamuamini kabisa Chama... Mechi kama hii inahitaji creativity ya hali ya juu kwenye robo ya mwisho, na hapo Simba sioni mwenye hiki kitu zaidi ya Clotous chama.

Anyway, matokeo mazuri hapa kwa Simba labda droo ya 0-0 au bila bila😉
 
Back
Top Bottom