FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Huyo sio pazia, basi tu ubaguzi wa rangi ulitutawala. Ni kosa gani alilowahi kufanya ambalo Manula (anaeaminika) au makipa wengine hawafanyi.?

Huu mpira nimeukosa, nipo safarini.
Mazoea mabaya ya mashabiki kukariri majina.
 
Hivi kocha wa mastriker pale Simba Huwa anafundisha Nini hasa? Hivi anawajua hata wachezaji wake kweli?

Mtu kama K.Denis anarudi kukaba hili iweje wakati hata kukaba penyewe hajui?

Nafikiri Kibu denis ndio mshambuliaji anaeongoza kwa kucheza faulo nyingi kwenye Ligi nzima ya NBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…