FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Wanacheza na Mnyama mkali na hatari lazima waonekane wanyonge.
Ndio akili yako ilipowaza. Hii timu kabla ya kucheza leo kashinda mechi moja tu ya juzi ya ligi. Ila zote kafungwa, wewe unaleta unazi wako hapa. Hujui kama hao Wydad wamefungwa hadi na Galaxy?
 
Atoe onana aingie Chama, atoe saido aingie phiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…