Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwa Ayoub hata Manula anakalia mbao vizuri tu, na kwa style hii kuja arudi uwanjani atakuta Ayoub ameshaanika kwa kocha mpaka mashabiki, nadhani atakuwa kipa namba mbili ama aende Azam Fc wenye shida ya makipa kama hatakuwa mvumilivu.Kesha wakata vidomo domo 😂😂