Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga yupo mkiani kwenye kundi lake la CaclTupe mpya .
😂😂🤣😂🤣
Aaache tu kukaba basi ili wacheze mziki na refaInonga anajua kucheza na refa
Fungeni basiYanga yupo mkiani kwenye kundi lake la Cacl
Tulia utaona..Fungeni basi
😂😂😅😂😂
Bado mudaFungeni basi
😂😂😅😂😂
Huyo jabrane mpumbavu waarabu tunaumia katunyima ushindiJabrane Yellow 62'
Nione mara ngapi!??🤣🤣🤣😅😂Tulia utaona..
Kwani tunaruka ruka mkuu? Tumetulia weeh lakini wapi! Mnatuleta kina baleke bora hata nchimbiTulia utaona..
Mmevaa misuli ?Malizana kwanza na mwarabu mzee sisi tuko hapa Marrakech tunakula tende
#Dimawydad
Acha upumbavu wewe... Tujifunze maviUtopolo Bado hamjifunzi Kitu..?
Mna Vichwa Vigumu sana..!
Angalia soka la wababe ujifunze.Kwani tunaruka ruka mkuu? Tumetulia weeh lakini wapi! Mnatuleta kina baleke bora hata nchimbi
Mmegeuza wimbo...😂😂😂..Hizi timu zote mbovu.