FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Mchezo usiingize na imani ,dini za watu .futa hii
 
Kwa lile vibes mlilowapa Al Ahly kwenye ile mechi na Yanga! Na hasa baada ya kufunga lile goli la kuongoza dakika ya 85!!
Aisee kwa leo wacha tu niitakie ushindi Wydad Casablanca. Tena naitakia ushindi mnono, ili kesho mji utulie.
 
Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
 
😁😁😁😁😁 yanakuja kuweka kambi hapa

Anyway naona mafuta ndo yanaenda kujitenga na mataptap

Viva simba

Kesho dj nanii naomba chapa ngoma ya zuchu😁😁😁
Mpaka kufika saa sita usiku, tap tap atakuwa keshajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…