FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Bado nafasi tunayo.
Wydad kwa Mkapa anapigika kirahisi sana
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nini hiki jamaniii, khaaaah
 
Leo sikuwa Kwenye tv kazi zilikuwa nyingi nipeni matokeo huko morocco marakesh Casablanca
 
20231209_205131.jpg

"Taqabbalallahu minna wa minkum"
 
Back
Top Bottom