FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

K

Kwani kwenye kundi lenu hamchezi muwe mnawafunga hizo 3? Au mlivyofungwa tatu mnaona kwenu ni ushindi ugenini? Utopolo hamnazo.
Usidandie comment niko neutral, siko utopoli wala makolo. Umeshaona wanachokifanya Chama na Baleke lakini?
 
Simba bwana .yaani timu mbovu anashindwa kuifunga?

i kweli kabisa kaka,Kama ilivyo Medeama mbovu,Angekuwa simba pale…Medeama kashacheze 2.
Bado najiuliza kwanini Yanga alishindwa kupata Ushindi kwa Medeama…
Ila nina Uhakika Medeama akija Dar atatandikwa si chini ya goli 3 hadi 5[emoji1787]
 
Kwa hiyo mkuu unataka sema kocha wa ufaransa alikua kila na alijua jamaa sio strika mzuri na akampanga?
Kwa hiyo kwa sababu ulimuona kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho basi yeye ndio alikuwa chaguo Bora kabisa miongoni mwa mastriker lukuki wanaopatikana nchini ufaransa sio?

Ulikuwa unaangalia mechi za ufaransa lakini hasa mechi ya nusu fainali dhidi ya Belgium? Unajua hata mpira wenyewe uliuugusa mara ngapi dakika zote alilzocheza?

Jitahidi uangalie mpira kwa jicho la kiufundi na sio kwa ubao wa matokeo tu.
 
Back
Top Bottom