Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao
Yanga mbona kapigwa na simba ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga mbona kapigwa na simba ?
Mimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao
Kama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kituMimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4
Haya katoe huo mwiko huko nyumaKama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kitu
Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepanikiHaya katoe huo mwiko huko nyuma
Tumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepaniki
Hauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakondeTumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16
Yeah wamakonde wana miuno feniHauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakonde
Nakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongataYeah wamakonde wana miuno feni
Vipi wewe daima mbele nyuma mkalia mwiko ulipata nini april 16?
Hujajibu swali April 16 mlipata niniNakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongata
Mpo juu ya msimamo kwa alama 10 so relax..