Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 Apr 30, 2023 #2,161 Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao KIBU DEE MTOMBANGILE said: Yanga mbona kapigwa na simba ? Click to expand...
Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao KIBU DEE MTOMBANGILE said: Yanga mbona kapigwa na simba ? Click to expand...
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 Apr 30, 2023 #2,162 2 Chainz_ said: Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao Click to expand... Mimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4
2 Chainz_ said: Haya lete rekodi za jumla nani kapigwa miti sana kati yao Click to expand... Mimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 Apr 30, 2023 #2,163 KIBU DEE MTOMBANGILE said: Mimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4 Click to expand... Kama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kitu
KIBU DEE MTOMBANGILE said: Mimi sin ila record ninazo kumbuka ni uto kupigwa vipigo vikali kutoka KWA mnyama simba 6,5,4 Click to expand... Kama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kitu
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 May 3, 2023 #2,164 2 Chainz_ said: Kama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kitu Click to expand... Haya katoe huo mwiko huko nyuma
2 Chainz_ said: Kama nimekukanda sana na unalijua Hilo kaa kwa kutulia. Uje mkipindua hiyo kitu Click to expand... Haya katoe huo mwiko huko nyuma
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 May 3, 2023 #2,165 KIBU DEE MTOMBANGILE said: Haya katoe huo mwiko huko nyuma Click to expand... Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepaniki
KIBU DEE MTOMBANGILE said: Haya katoe huo mwiko huko nyuma Click to expand... Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepaniki
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 May 3, 2023 #2,166 2 Chainz_ said: Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepaniki Click to expand... Tumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16
2 Chainz_ said: Leo mmetokaje kwanza? Maana ni kama umepaniki Click to expand... Tumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 May 3, 2023 #2,167 KIBU DEE MTOMBANGILE said: Tumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16 Click to expand... Hauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakonde
KIBU DEE MTOMBANGILE said: Tumetoka kukusokomezea mwiko wa pili kama wa april 16 Click to expand... Hauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakonde
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 May 3, 2023 #2,168 2 Chainz_ said: Hauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakonde Click to expand... Yeah wamakonde wana miuno feni Vipi wewe daima mbele nyuma mkalia mwiko ulipata nini april 16?
2 Chainz_ said: Hauko sawa wewe,, utakuja ukiwa sawa maana hata unachokiandika kinadhihirisha ulivyogadhabishwa na wamakonde Click to expand... Yeah wamakonde wana miuno feni Vipi wewe daima mbele nyuma mkalia mwiko ulipata nini april 16?
Von_Lufuta JF-Expert Member Joined Mar 19, 2023 Posts 1,528 Reaction score 3,641 May 3, 2023 #2,169 KIBU DEE MTOMBANGILE said: Yeah wamakonde wana miuno feni Vipi wewe daima mbele nyuma mkalia mwiko ulipata nini april 16? Click to expand... Nakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongata Mpo juu ya msimamo kwa alama 10 so relax..
KIBU DEE MTOMBANGILE said: Yeah wamakonde wana miuno feni Vipi wewe daima mbele nyuma mkalia mwiko ulipata nini april 16? Click to expand... Nakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongata Mpo juu ya msimamo kwa alama 10 so relax..
GUSA ACHIA BAHASHA GOLI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2023 Posts 5,110 Reaction score 7,349 May 3, 2023 #2,170 2 Chainz_ said: Nakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongata Mpo juu ya msimamo kwa alama 10 so relax.. Click to expand... Hujajibu swali April 16 mlipata nini
2 Chainz_ said: Nakuhurumia sana, unabwatabwata unaongea sana utadhani vile dogo umedata,,, inabidi ukapimwe Medulla oblongata Mpo juu ya msimamo kwa alama 10 so relax.. Click to expand... Hujajibu swali April 16 mlipata nini