Kwelii? HayaWydad wameishiwa mbinu
Kipa nae hatuna kumbe?[emoji23]
Uzoefu wa kipa,goli jepesi sanaHapo hamna golikipa, na lawama zote zitaenda Kwa onyango
😀😀Bado 4
Poleni watani ila mnafunga bana hadi dk 90 kitaeleweka tuWydad atatulaza barabarani leo
Tukiachana na swala la kipa, ni lazima tukubali kuwa Onyango nae ni mzigo.Hapo hamna golikipa, na lawama zote zitaenda Kwa onyango