Njoo Apa tuangalie Wote Kama Huna Tv.Unasikiliza mpira redioni?
Kwani kocha haoni ?Joash Onyango amechoka aisee, mtoeni
[emoji81]ng'ombe hanenepi siku ya mnadaMoses Phiri apewe nafasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Onyango kasema hatoki
ndio kazi ya kipa ku correct mistake ndogo ndogo Kama izo za mabeki wako ..ile Ally alitakiwa asave mpia aliukuta kabisaOnyango kafanya makosa ktk ukabaji.. mpira ulidunda kipa akapoteza timing