Igwe Kingdom
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 317
- 590
Presha huwa inatabia ya kulainisha joints, bila shaka magoti hayasikii kitu[emoji23][emoji23].Ally Salim hawezi kupiga mpira kwenda mbele au ndo presha iko juu
Matuta nayo ni magoli mzigo usome tuNauliza mikwaju ya penalti kwenye bajeti ya mama 10mil kila gori mzigo utasoma?
Za mikwaju hazihesabiwiNauliza mikwaju ya penalti kwenye bajeti ya mama 10mil kila gori mzigo utasoma?
mama atachakaaVipi kwenye mikwaju ya penalt ile 10M ya mama bado inahesabika?
Ngoja tumtie hasara
Asante kakaaaNi Penalty amna extra time
Hata mechi ya kwanza hakupewa kadiKanoute Putin hajapewa njano? Kwa mechi ya namna hii😂😂basi Dunia inakaribia ukingoni
Nikirejea ile game yetu na Orlando, baada ta hapa ni matuta.Hivi ni matuta au 120