FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Hili goli ni la onyango...huwezi kumuacha stiker anapiga kichwa huku umemgeuzia matako.
Ulitaka onyango afanyeje wakat alisharuka mpira ukawa uko juu kumzidi.lakini pia angalia umbali wa onyango na mfungaji.ni karibu nusu mita.au ulitaka awe malaika.wabongo tupunguze ujuaji usio na sababu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Simba ikifunga penati 5 ina milioni 50

Hii bahati hawaji kuipata Uto
 
90 + 7' FULL TIME

WYDAD ATHLETIC CLUB 1 - SIMBA SPORTS CLUB 0

AGGREGATE RESULTS 1-1


Twendeni kwenye mikwaju ya Penalti sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…