Penalty, Simba wanapitaHe!!!!! Kivipi.
Hakika .Simba wametuheshimisha.
Kijana atasave... trust the process mkuuLA!! Manula angekuwepo kwenye matuta lazima angesavu walau moja!!
Sawa..Penalty, Simba wanapita
Si mpaka wapateSimba ikifunga penati 5 ina milioni 50
Hii bahati hawaji kuipata Uto
Hishima ipi yani umefungwa alafu unataka heshimaTukiwa tunasema Simba tupewe heshma yetu hivi ndiyo tunamaanisha. Mamaeee