wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Yanga ataongoza hili kundi
Vyura hawana usingiziKwani nyie nani amewakataza kulala?
Huu msemo ni kwa Simba siyo utopoloKwa Mkapa Hatoki mtu
Ndivyo mlivyofundishwa shuleni kwenu!Uto leo anakufa 3 nipo hapa
Labda ataongoza kwa kutolewaYanga ataongoza hili kundi
Kabisa aisee...Yanga hata tucheze kiwango gan without goal n empty
Kwahiyo zile point 39 za CAF tunazo?Hata Mc Alger akifungwa 5 bado Yanga hawezi kuongoza kundi sababu ya h2h Yanga karuhusu goli 2 vs Al Hilal
Leo waarabu wanawanyoa mara tatu mpaka ngozi yote itoke.Ndivyo mlivyofundishwa shuleni kwenu!
Alger wameudhibiti mfumo. Hakuna ujinga ambao yanga wamechezaKipindi cha kwanza ni ujinga tumecheza
3bila kuwachapa hawataacha uo ujinga wao
3Deportivo de La Utopolo wakiendelea kumtegemea Lucky Dube kama Striker watafeli pakubwa msimu huu. Dube ni striker mfu.
Mnazo mmefuzu!!!??? Akili zenu aisee!!!Kwahiyo zile point 39 za CAF tunazo?
Gusa achia twende kwao imefeli ?Alger wameudhibiti mfumo. Hakuna ujinga ambao yanga wamecheza