Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Yanga hata akipewa dakika 90 zingine aongezwe na dakika 10 hashindi hii mechi tutakesha tu hapaNasikia Yanga anaongoza 2!
Huku TANESCO wamefanya yao. Naombeni matokeo
Kwisha habari yaoπVipi huko kwenye redio bado tu haujasiha
Duh!....Kumbe kuitwa 'mwakarobo' sio kazi nyepesi ?....πππZimebaki sekunde tu