FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Azam walikuwa na maana gani kufanya sub ya kipa na kutuaminisha watu kuwa anayeingia ni bora kwenye penalty?
 
Paul katema anapiga penalty

Goooal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…