Asalamalyekum Ustadha.Hahahaaa. Lol.
Nawaona tu Mtani mwisho wa siku mutaukimbia uzi na kuyakataa maneno yenu. Na hata tags zetu mutazipotezea. Teh teh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalamalyekum Ustadha.Hahahaaa. Lol.
Nawaona tu Mtani mwisho wa siku mutaukimbia uzi na kuyakataa maneno yenu. Na hata tags zetu mutazipotezea. Teh teh.
Wa aleykum salaam warahmatullah taala wabarakatuhu. 🙏Asalamalyekum Ustadha
Ses hivyo huyo jamaa anachukia sana si tukiwa na majina lukuki. 🤣🤣🤣
Tatizo majina yenu lukuki wenyewe hamyataki kama vile Chura churani, Wamatopeni, Wakulima wa mpunga, Gongo wazi, na kadhalika. Mnalazimisha muitwe " Mabingwa wa kihistoria"Ses hivyo huyo jamaa anachukia sana si tukiwa na majina lukuki. 🤣🤣🤣
Duuh!!Tatizo majina yenu lukuki wenyewe hamyataki kama vile Chura churani, Wamatopeni, Wakulima wa mpunga, Gongo wazi, na kadhalika. Mnalazimisha muitwe " Mabingwa wa kihistoria"
Sisi tunasema, sawa muitwe kama mnavyotaka. Maana ukiskia "jengo la kihistoria", "gari la kihistoria", "mavazi ya kihistoria" basi ujue hivyo vitu ni vyakupelekwa makumbusho vimeshapitwa na wakati.
Na huo ndio unaoitwa "Ubingwa wa kihistoria". Hamna jipya, mkawekwe makumbusho sasa😀😀😀
Kwani si ni hivyo Shadeeya?🤪Duuh!!
Ila si kwa kutuchoka huko.Kwani si ni hivyo Shadeeya?🤪
Kama mpira hamjui basi punguzeni kelele bandugu. Kuwafunga tu Dodoma Jiji kwa mbeleko ya waamuzi, eti mshakua Barcelona.Ila si kwa kutuchoka huko.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapelekwe makumubusho wakawe wa kihistoria!Tatizo majina yenu lukuki wenyewe hamyataki kama vile Chura churani, Wamatopeni, Wakulima wa mpunga, Gongo wazi, na kadhalika. Mnalazimisha muitwe " Mabingwa wa kihistoria"
Sisi tunasema, sawa muitwe kama mnavyotaka. Maana ukiskia "jengo la kihistoria", "gari la kihistoria", "mavazi ya kihistoria" basi ujue hivyo vitu ni vyakupelekwa makumbusho vimeshapitwa na wakati.
Na huo ndio unaoitwa "Ubingwa wa kihistoria". Hamna jipya, mkawekwe makumbusho sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
Haswaa reymage. Bahati nzuri hao Utopolo wenyewe ndio wanavyotaka. Waswahili wanasema "Anayejisifu sana kwa aliyofanya jana ujue leo hajafanya kitu"[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapelekwe makumubusho wakawe wa kihistoria!