FT: Yanga 0 Azam 0. Azam wametinga fainali kwa kuwafunga Yanga Penati 8 kwa 9

Ses hivyo huyo jamaa anachukia sana si tukiwa na majina lukuki. 🤣🤣🤣
Tatizo majina yenu lukuki wenyewe hamyataki kama vile Chura churani, Wamatopeni, Wakulima wa mpunga, Gongo wazi, na kadhalika. Mnalazimisha muitwe " Mabingwa wa kihistoria"

Sisi tunasema, sawa muitwe kama mnavyotaka. Maana ukiskia "jengo la kihistoria", "gari la kihistoria", "mavazi ya kihistoria" basi ujue hivyo vitu ni vyakupelekwa makumbusho vimeshapitwa na wakati.

Na huo ndio unaoitwa "Ubingwa wa kihistoria". Hamna jipya, mkawekwe makumbusho sasa😀😀😀
 
Duuh!!
 
Ila si kwa kutuchoka huko.
Kama mpira hamjui basi punguzeni kelele bandugu. Kuwafunga tu Dodoma Jiji kwa mbeleko ya waamuzi, eti mshakua Barcelona.

Sasa jana uliwaona Real Madrid halisi wa Bongo na zile sambusa, rula, vihendo, kanzu, darizi, vyenga, matobo na udambwidambwi wa next level? Au kama kawaida yao TANESCO walikata umeme kwako ilipoanza mechi ya Mabingwa Lunyasi?🤣🤣🤣
 
Tatizo majina yenu lukuki wenyewe hamyataki kama vile Chura churani, Wamatopeni, Wakulima wa mpunga, Gongo wazi, na kadhalika. Mnalazimisha muitwe " Mabingwa wa kihistoria"

Sisi tunasema, sawa muitwe kama mnavyotaka. Maana ukiskia "jengo la kihistoria", "gari la kihistoria", "mavazi ya kihistoria" basi ujue hivyo vitu ni vyakupelekwa makumbusho vimeshapitwa na wakati.

Na huo ndio unaoitwa "Ubingwa wa kihistoria". Hamna jipya, mkawekwe makumbusho sasa[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapelekwe makumubusho wakawe wa kihistoria!
 
Haswaa reymage. Bahati nzuri hao Utopolo wenyewe ndio wanavyotaka. Waswahili wanasema "Anayejisifu sana kwa aliyofanya jana ujue leo hajafanya kitu"
 
Back
Top Bottom