Leo kutoa sare nyumbani imekuwa fresh?Fresh!!!
Nmeamini kweli wewe HUNA AKILI!
kwahyo mchezazi akiumia asioneshe kaumia ili apewe matibabu?
Mtu anatumia nguvu kubwa kukaba kukimbia na kutoa pasi
We unadhani ni easy kama kumtoa dem wako chupi?
Sasa Unafurahia kuwa wa mwisho na point 1..Mliotaka tufungwe kiko wapiiiiii😂💚💛
Bora maana mngetusema Hadi tufe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Drooooo hyooo
Leo kutoa sare nyumbani imekuwa fresh?
kikao leo wapi ?Punguzeni midomo...vyura nyie
ILA KIHAKI YANGA ANAPIGA BOLI SIO UTANI
Bado hujasemaaaMakolo = majitu yasio na akili.
Mechi zilizobaki zote ni ushindi kwa Yanga kasoro na Al Ahly atabahatisha sare nyumbani kwao.Dah! Malengo yetu ya leo hayajatimia mpira ulikua mgumu kwetu. Lakini nafasi bado tunayo
uzalendo kwanzaPunguzeni midomo...vyura nyie