Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Tumekosa magoli tu, sasa hivi maji wangeyaita mma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nasema hivi...nyie hamna timu ya kucheza champions league. Defense yenu ina leak sana magoli.
Hawa wenyewe tuu ni kukosa umakini lakini gemu ilikuwa inaisha hapa hapa taifa
Uto ni hapa hapa tu ww tangu 98 ndo waliingia makundi leo waingie kwa lip walilo naloIlitakiwa wawekwe goli kipindi cha kwanza ili waendelee kupaki basi kwa kuhofia kuruhusu magoli mengi, sasahivi majamaa yamewazoea[emoji16].
Na siku yenyewe si ndo hii sasa?[emoji1]Dkk 45 za kipindi cha kwanza huwa wanazichezea tu, kipindi cha pili ndio wanaanza kucheza mpira, iko siku mtajuta.
Mpira badoNa siku yenyewe si ndo hii sasa?[emoji1]
Unashabikia timu ya chama mzima kweli wewe?Huyu mayele mamaee[emoji16][emoji16]