FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Kuna mtangazaji hapa sijui ni Simba. Yani Al hilal walivyofunga, alirukaaaa na kelele juu gooooooooo mpk kazirai. Watu noumaa[emoji1]
huyo labda Manara impite hiyo, vinginevyo atakula naye sahani moja kwenye mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…