Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wote ninaweza kuwavumilia ila kwa KISINDA na MOROCO, me mpaka sasa sielewi wanatafuta nini hapo.Yanga kuna Wazee Wengi Sana...Wa Pensheni.!
1. Juma Shabani
2.Khalid Aucho
3.Kisinda
4.Bangala
Hawa Wote Walishamaliza boli La Ushindani Kule Kongo Na Uganda
Hahahahahaaaa hizi level zina wenyewe!!!Tukutane sudan Mungu akipenda
Huyo anakimbia kimbia tu kama pimbi hana malengoHuyu TK master mbona anazunguk zunguka tu?
Hahahahaha nakubali kiongoziNipo hapa msudan naitwa Al Minyato[emoji102]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia huko
Na Morrison yupoAziz Ki kumbe yupo
Ukiona upo home ground na Man of the Match anakuwa kipa wako, inabidi ujiangalie sanaMan Of The Match: Kipa Diarra