Ukiona unacheza mechi ngazi ya CAFCL tena home ground kisha unamshukuru kipa, basi ujue huna lolote.Duara ni kipa sanaaa
Zeruzeru alisema huyo ndiye man of the matchNabi nakuita mara 3 ukuje kwa kipaza sauti utugambile what happened?
yap.wakae kitako waone mwanaume wa shoka anavyopeperusha vyema bendera ya nchi.Haya kesho jioni mje twisheni muone jinsi Simba tunavyocheza kimataifa...bumbav
Au Simba kumfunga mpinzani 1-0 wanafikiri ni rahisi sanaaaa.YANGA WAKIIONA SIMBA KIMATAIFA INAFIKA ROBO FAINAL WANADHANI MAMBO NI MEPESI MEPESI SAAAANA HAHAHAHHAHA
Mkapindue meza sasa huko ugeniniLile swali la CAF majibu yanaanza kupatikana leo
Nilikuwa nasubiri zile taizi zake za kupoteza muda kijinga[emoji23].Na Morrison yupo
Ndugu kama ulikuwa unasubir mkeka ndo ule leo daah ndo usha lala njaaa mkuumachafuko jr umejificha wapi mwanga wewe?
We nyonyo umehamia lini kwa mabingwa wa nchi?Uzuri ni kwamba furaha kwa mashabiki bado ipo
Furaha ni kuona Yanga ikizidi kucheza mechi yake ya 44 bila kupoteza, naam hicho kwetu kina maana kubwa sana
Sawa mtani keka limeunguaNdugu kama ulikuwa unasubir mkeka ndo ule leo daah ndo usha lala njaaa mkuu