FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Lkn pmj na hayo Morrison alicheza kislow San sijui kwa sababu ya jerah la mdomoni ,hvyo Bado nina imani 80 %yanga kusonga mbele hata huko kwao tutapata matokea tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja azam tuwaoneshe kushinda kimataifa
 
Ile michezaji mijinga sana pale hatuna timu na sudan tunanyukwa vizuri tu
 
Paragraph mbili za mwisho nimezielezea kwenye post #638

Hayo ndio malengo yetu
 
mashabiki wa simba hawana uzalendo kabisa roho mbaya
 
Dalili ya simba kufungwa na Agosto ni kushangalia sare ya yanga.


Mchezo wa leo ulitawaliwa na pressure wachezaji wanahitaji kuwa calm na pia Kocha nabi ajofunze kupambania kipindi cha kwanza hawa jamaa walipaswa kufungwa first half na kimaliza game second

Hatuwezi kwenda khartoum na kucheza kama tunategeana tunatakiwa kuwasha moto kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…