FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Sio ya kutisha kweli ila kuna kucheza mpira na kushindana! Yanga imecheza mpira ndio nafasi zimetengezwa nyingi lakini kuzibadilisha kuwa magoli imekua ngumu! Kwenye hatua kama hizi timu bora inatengeneza nafasi chache na zote inazitumia! Tujiulize swali jepesi kwa nini Morrison ameonyesha uhai kuliko wachezaji wengine?
Lkn pmj na hayo Morrison alicheza kislow San sijui kwa sababu ya jerah la mdomoni ,hvyo Bado nina imani 80 %yanga kusonga mbele hata huko kwao tutapata matokea tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpira una matokeo matatu. Kufungwa, kushinda na sare, tumetoka sare. Yanga imejitahidi, tumewasoma vizuri, tumeanza kupata goli na kukosa pia. Tumezuia magoli, asante kipa wetu.
Yanga hii hii mnayoidharau leo, huwa inawalaza na viatu. Kama Yanga ni mbovu, basi makolo ni wabovu zaidi yaaa... huwa mnashinda kibahati bahati tu huko...
Sudan tunakuja...
Ngoja azam tuwaoneshe kushinda kimataifa
 
Shukran kwa Mwenyezi Mungu.
Ahsante kwa bench zima la ufundi,ahsanteni wachezaji wote,hakika hayo ndo matokeo tuliopangiwa.

Ujumbe kwako goli kipa wetu screen protector pole kwa maswahibu uliyo yapata leo na pia usichoke.

Na hii yanga yetu jamani ni unbeaten
emoji123.png
bado hatujapoteza.

Daima mbele nyuma mwiko.
Paragraph mbili za mwisho nimezielezea kwenye post #638

Hayo ndio malengo yetu
 
Dalili ya simba kufungwa na Agosto ni kushangalia sare ya yanga.


Mchezo wa leo ulitawaliwa na pressure wachezaji wanahitaji kuwa calm na pia Kocha nabi ajofunze kupambania kipindi cha kwanza hawa jamaa walipaswa kufungwa first half na kimaliza game second

Hatuwezi kwenda khartoum na kucheza kama tunategeana tunatakiwa kuwasha moto kweli kweli
 
Back
Top Bottom