FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Safarihii watasubiri, niwakati wa Yanga.
Wakati wa Yanga kufanyeje?

Mbele yenu mna kipengele kigumu sana kuweza kupata matokeo Sudan yatayowavusha kwenda kwenye makundi
 
Mlifikiri ni rahisi uto aaaaah. Hiyo ni test uto ambayo msimamizi anakuambia ' you are not required to know your neighbour' yaani pambana na hali yako.
Timu bovu linacheza kesho,litapgwa tatu nyuma Kama konyagi
 
Glody makabe lilepo,mohamed amdurahman yousuf na muzamir yasir bila kumsahau mtoto mbichi kabisa wa kuitwa lamine djodjou WANAWASUBIRI SUDAN NA IBENGE ATAFURAHI SANA KUWAONA..[emoji23][emoji23]
 
Uzuri ni kwamba furaha kwa mashabiki bado ipo

Furaha ni kuona Yanga ikizidi kucheza mechi yake ya 44 bila kupoteza, naam hicho kwetu kina maana kubwa sana

Mashabiki wa Viper Fc tupo tunakuangalia tu
 
Haitakua mara ya kwanza Yanga kufuzu ugenini, Alishafanya hivyo Kwa High landers ya Zimbabwe, Township Rollers ya Botswana, Rayon ya Rwanda baada ya matokeo ya sare ya Mojamoja nyumbani.
Kiongozi naomba statistics za game yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…