FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

Huwezi kuelewa naona wewe labda umewahi kucheza rede tu. Wachezaji wanatumia energy tofauti kutokana na mpinzani alivyo vile vile kutokana na mashindano.

Hii energy mliotumia Leo haiwezi kuwa Sawa mngekutana na Al hilal mechi ya kirafiki dhidi ya wachezaji hao hao.
Ulishawahi sikia 'juhudi na maarifa'!?..mzamiru anakua na maarifa' gani caf zaidi ambayo ngao yanakua hayapo!?...galaxy si alikufumua tatu hapo kwa mkapa!?.. energy haikuwepo!?
 
Simba ni kama mtoto yatima nchi hii, viongozi wote wa serikali wanaisapoti Yanga.

Ndio maana kimataifa Simba wanapigana kwa jasho na damu.

Mlikuwa mnachukulia kirahisi rahisi tu. Leo nadhani mmejionea wenyewe.

Bila msaada wa marefarii nyie ni utopolo tu.
 
Ndoto hizi, naona unaweweseka, ninyi ni Utopolo.

Huwa mnaishia raundi za awali kwa miaka tajwa hapo juu
 
Back
Top Bottom